Kuwa wa kwanza kujua yaliyojiri kwenye michezo kila siku kupija simu yako ya mkononi.
Habari za soka la bongo na ratiba zote za mechi za lige kuu Nbc na lige za ulaya, tetesi za usajili, matokeo ya mechi zote kwa wakati bila kusahau utabiri wa mechi zote zinazochezwa kila siku.
Kupitia app hii ya habari za michezo utapata uchambuzi wa soka kwa ligi zote kutoka wa wachambuzi waliobobea katoka soka, pia utapata taarifa zote zinahusu vilabu vya soka na soka lote kwa ujumla.
Utaweza kujua yaliyojiri kwenye timu za lige kuu kama ile simba, yanga, Azam, Namungo, singida bigstars, polisi tanzania, mtibwa sugar na nyingine nyingi.
Актуализирано на
18.06.2024 г.