Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.
Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;
- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business is a bookkeeping mobile app for businesses to record and store their business data and details like sales, spendings, debts and inventory management. Kuza Business makes it easy for businesses to grow their businesses by making informed decisions from their business data