Matukio

Contiene anuncios
50 k+
Descargas
Calificación del contenido
PEGI 3
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla

Acerca de esta app

Matukio ni aplicación ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzania,Kijamii,Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za ligi mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata aplicación kupitia hola.

BURUDANI, Hii ​​sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video na audio pia.



Aplicación hii ni mahususi kwako ww mpenda taarifa za mapema kwa matukio yote yatakayokuwa yakijiri kila wakati ndani na nje ya Tanzania, usiache kuwa na aplicación hii katika simu yako.

Ahsanteni.
Actualización
11 ene 2025

Seguridad de los datos

El primer paso de la seguridad es comprender cómo los desarrolladores recopilan y comparten tus datos. Las prácticas de privacidad y seguridad de datos pueden variar en función del uso de la app, la región y la edad. El desarrollador proporcionó esta información y podría actualizarla con el tiempo.
No se comparten datos con terceros
Más información sobre cómo los desarrolladores declaran el uso compartido
No se recopilan datos
Más información sobre cómo los desarrolladores declaran la recopilación
Los datos están encriptados en tránsito
No se pueden borrar los datos

Novedades

Furahia Habari,Michezo,Burudani na Videos

Asistencia de la app

Acerca del desarrollador
INNOCENT EMMANUEL SEME
Tanzania
undefined