Kuza Business ni aplikatusheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.
Erabili aplikazioaren Kuza Business-ek;
- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business enpresek negozio-datuak eta xehetasunak erregistratu eta gordetzeko aplikazio mugikor bat da, hala nola salmentak, gastuak, zorrak eta inbentarioen kudeaketa. Kuza Business-ek enpresei beren negozioak haztea errazten die beren negozio-datuetatik erabakiak hartuz
Azken eguneratzea
2025(e)ko urt. 13(a)