Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.
Ukiwa na app ya Kuza Business unweza kufanya yafuatayo;
- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- کورکودی مائوزو یاکو
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- کورکودی ماتومیزی یانایوهوسو بیاشارا یاکو
- کورکودی واتجا واکو
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza Taarifa Zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai، wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business یک برنامه موبایل حسابداری برای کسب و کارها است تا داده ها و جزئیات کسب و کار خود مانند فروش، مخارج، بدهی ها و مدیریت موجودی را ثبت و ذخیره کند. Kuza Business با اتخاذ تصمیمات آگاهانه از داده های کسب و کار خود، رشد کسب و کار خود را برای مشاغل آسان می کند
تاریخ بهروزرسانی
۲۴ دی ۱۴۰۳