Matukio

Sisältää mainoksia
50 t.+
Lataukset
Sisällön ikärajoitus
PEGI 3
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus

Tietoa sovelluksesta

Matukio ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tansania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tansania, Kijamii, Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligibal kuu hadi ligi za madaraja ya chini fai za ligiyalim taarifa yake utakuwa ukizipata kupitia app hii.

BURUDANI, Hii ​​sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae mpenzi hudaoalia internet utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video ja audio pia.



App hii ni mahususi kwako ww mpenda taarifa za mapema kwa matukio yote yatakayokuwa yakijiri kila wakati ndani na nje ya Tansania, usiache kuwa na app hii katika simu yako.

Ahsanteni.
Päivitetty
11.1.2025

Dataturvallisuus

Turvallisuus alkaa siitä, että ymmärrät, miten kehittäjät keräävät ja jakavat dataasi. Datan yksityisyys- ja turvallisuuskäytännöt saattavat vaihdella käytön, alueen ja iän mukaan. Kehittäjä on antanut nämä tiedot ja saattaa päivittää niitä myöhemmin.
Dataa ei jaettu kolmansille osapuolille
Lue, miten kehittäjät ilmoittavat jakamisesta
Dataa ei ole kerätty
Lue, miten kehittäjät ilmoittavat keräämisestä
Data salataan siirron ajaksi
Dataa ei voi poistaa

Uutta

Furahia Habari,Michezo,Burudani na Videos

Sovelluksen tuki

Tietoa kehittäjästä
INNOCENT EMMANUEL SEME
Tanzania
undefined