Hiki ni kitabu kilichoandaliwa kwa lengo la kukupatia Elimu juu ya Afya ya uzazi, malezi bora, utaratibu juu ya afya ya ujauzito na uzazi. Utajifunza mengi kuhusu ujauzito kabla hauja ingia hadi kuzaliwa kwa mtoto.
Kitabu hiki kina lengo la kusaidia watu walio na changamoto ya kutopata ujauzito kwa muda mrefu. Hapa watajifunza baadhi ya njia za kiasili za kuweza kutumia ili kujuwa siku hatari ambazo wanaweza kupata ujauzito na namna ya kuzitambuwa siku hizo.
Kitabu hiki pia kimeangalia matatizo ya afya ya uzazi kwa wanaume, chanzo cha matatizo hayo na baadhi ya njia za kuweza kukabiliana na matatizo hayo.
Aktualisiert am
29.12.2024