Matukio

Sadrži oglase
50 tis.+
Preuzimanja
Ocjena sadržaja
PEGI 3
Slika snimke zaslona
Slika snimke zaslona
Slika snimke zaslona
Slika snimke zaslona
Slika snimke zaslona
Slika snimke zaslona
Slika snimke zaslona

O ovoj aplikaciji

Matukio ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;

HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzania,Kijamii,Kiuchumi na Kibiashara.

MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za lige zote kuanzia ligi kuu hadi ligi za madaraja ya chini yake, pia taarifa za lige mbalimbali ulaya na wachezaji wake utakuwa ukizipata kupiti app hii.

BURUDANI, Hii ​​sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae kuziangalia ukiwa hutumii mtandao wa internet,pia utaweza kupakua nyimbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni video i audio pia.



App hii ni mahususi kwako ww mpenda taarifa za mapema kwa matukio yote yatakayokuwa yakijiri kila wakati ndani na nje ya Tanzania, usiache kuwa na app hii katika simu yako.

Ahsanteni.
Ažurirano
11. sij 2025.

Sigurnost podataka

Sigurnost počinje razumijevanjem načina na koji razvojni programeri prikupljaju i dijele vaše podatke. Prakse privatnosti i sigurnosti podataka mogu se razlikovati ovisno o vašoj upotrebi, regiji i dobi. Te informacije pružio je razvojni programer koji ih tijekom vremena može ažurirati.
Podaci se ne dijele s trećim stranama
Saznajte više o tome kako razvojni programeri navode dijeljenje
Nema prikupljenih podataka
Saznajte više o tome kako razvojni programeri navode prikupljanje
Podaci se šifriraju tijekom prijenosa
Podaci se ne mogu izbrisati

Što je novo

Furahia Habari,Michezo,Burudani na Videos

Podrška za aplikaciju