Matukio ni app ambayo itakuwa ikikuletea taarifa mbalimbali zinazotokea ndani ya Tanzania na Ulimwengu pia Kiujumla taarifa hizo zimetegwa katika mafungu makuu manne kama ifuatavyo;
HABARI, Hapa utakuwa ukijuzwa matukio mbalimbali yanayojiri hapa nchini Tanzani na pia yale yatokeayo nje ya mipaka ya Tanzanija, Kijamii, Kiuchumi na Kibiashara.
MICHEZO, Katika sehemu hii ya michezo mdau wa soka utakuwa ukifurahia taarifa za soka kuhusiana na timu kongwe Yanga na Simba ni pia taarifa za ligi zote kuanzia ligibal kuu hadi ligi za madaraja ya chinifai za ligiyambaari ke yake utakuwa ukizipata kupitia app hii.
BURUDANI, Hii sehemu ambayo ww mpenzi wa muziki na tamthlia za kutafsiliwa kiswahili utakuwa ukitazama tamthilia hizo mojamoja kwa mojoja mtandaoni au kwa kuzipakua kwanza kwenye simu na baadae mpenzi hudaoalia internet utaweza kupakua nymbo mpya zinazotoka kila ikiwa ni vaizdo ir garso pia.
App hii ni mahususi kwako ww mpenda taarifa za mapema kwa matukio yote yatakayokuwa yakijiri kila wakati ndani na nje ya Tanzanija, usiache kuwa na app hii katika simu yako.
Ahsanteni.