Tenzi za Rohoni ni app inayokuwezesha kusoma nyimbo takribani 161kutoka kwenye kitabu cha Tenzi za Rohoni kinachochapishwa na Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT) als lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
__________________
Tenzi za Rohoni is een app waarmee je ongeveer 161 liedjes uit het boek "Tenzi za Rohoni" (spirituele hymnen), uitgegeven door de Tanzania Mennonite Church (KMT), in het Kiswahili en Engels kunt lezen.