Kuza Business ni aplicăsheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.
Ukiwa na app pentru Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;
- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business este o aplicație mobilă de contabilitate pentru companii pentru a-și înregistra și stoca datele comerciale și detalii precum vânzările, cheltuielile, datorii și gestionarea stocurilor. Kuza Business facilitează dezvoltarea afacerilor companiilor, luând decizii informate din datele lor de afaceri
Ultima actualizare
13 ian. 2025