afya ya akili ni app inayokusaidia kuwa na afya imara ya akili.
Kuongeza:
Kujiona Vyema
Kujithamini
Mahusiano Mazuri Na Familia Na Watu Wengine
Kuongeza Uzalishaji Mali
Maisha Bora Yenye Amani
Ondoa:
1.Hofu
2.Msongo Wa Mawazo.
3.Wasiwasi.
4.Huzuni.
5.Woga
6.Kukata Tamaa Hovyo
7.Uchovu
8.Migogoro
9.Matumizi Mabaya Ya Dawa Za Kulevya Au Pombe Au Sigara
Huduma hii ni bure, hakuna malipo yoyote.
Ilisasishwa tarehe
1 Des 2024