Karibu kwenye Chrome Canary ya Android.
• Jaribio - Toleo hili halijafanyiwa majaribio. Huenda si thabiti au wakati mwingine litashindwa kufanya kazi. Inapendekezwa kwa wasanidi programu au watumiaji mahiri pekee.
• Linasasishwa mara kwa mara - Masasisho yanaweza kutumwa hadi mara saba kwa wiki, na kutumia kipimo data cha MB 100. Kuwa mwangalifu unaposasisha programu kwa kutumia data ya simu za mkononi.
• Toa maoni ya mapema - Njia nzuri ya kusaidia kuboresha kivinjari cha Chrome ya Android. Bofya "Usaidizi na Maoni" kwenye menyu ili utoe maoni.
Ilisasishwa tarehe
28 Des 2024