Shabiki NambaMoja ni kwa ajili ya mashabiki wa ukweli wa mpira wa miguu, mchezo upendwao zaidi duniani
Ukiwa na Shabiki NambaMoja utapata taarifa za kandanda zinazojiri Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika, Ulaya na Duniani kote kwa ujumla
Kwa wale wanaopenda ku bet, App hii itakusaidia kwani kuna uchambuzi wa kina unafanywa kuhusu mechi mbalimbali zinazopigwa ligi kuu ya Uingereza, La Liga, Serie A, Ligi One na bila kusahau ligi kuu ya Tanzania Bara
Ukiwa na App hii utaweza kupata ratiba ya mechi zote za ligi kuu ya Uingereza, La Liga na Ligi Kuu ya Tanzania Bara
Pia kuna Msimamo wa ligi hizo, takwimu na yote yanayojiri kwenye ligi hizo
Shabiki NambaMoja imebuniwa kuwa rahisi kutumia na ni maalum kwa ajili wako wewe mpenzi wa soka
Ilisasishwa tarehe
18 Nov 2024