Jifunze Kirusi

Ununuzi wa ndani ya programu
4.4
Maoni elfu 22.6
1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Jifunze Kirusi kutoka lugha asilia 61, bure na nje ya mtandao, ukiwa na FunEasyLearn.

Jifunze KUSOMA 📖 KUANDIKA ✍ na KUONGEA Kirusi 💬
Gundua njia inayoburudisha na rahisi ya kujifunza kanuni zote za usomaji, maneno yote utakayohitaji na virai vyote muhimu katika lugha ya Kirusi.

🚀 Yaliyomo
Maneno 6,000 ya Kirusi (yanayoendelea kuongezeka): nomino, vitenzi, vivumishi vitumikavyo zaidi, n.k., vilivyoainishwa kwenye ngazi 10 na masomo 200;
Virai 5,000 vya Kirusi (vinavyotumika mara kwa mara): virai muhimu zaidi kwa ajili ya maongezi ya kila siku na safari, vilivyoainishwa kwenye ngazi 7 na masomo 120.

Panua msamiati wako kwa kujifunza maneno, sentensi na misemo kwa wajifunzaji wanaoanza, wa kiwango cha kati na wa kiwango cha juu.

🔔 Je, kwa nini ujifunze Kirusi kwa kutumia FunEasyLearn?
FunEasyLearn inaleta mapinduzi ya ujifunzaji wa lugha. Timu yetu ya wataalamu wa lugha na walimu imetengeneza mkakati wa kipekee wa ujifunzaji wa lugha. Siri ipo katika kuunganisha alfabeti pamoja na kanuni zote za usomaji, maneno yote muhimu na kamusi ya virai yenye tija kwenye programu-tumizi moja. Jambo hili linawawezesha watumiaji wetu kusoma neno au kirai, kukitamka kwa usahihi, kukihusisha na mchoro na kufanya mazoezi kwa kutumia michezo ya kusikiliza, kuandika na kuongea.

🏆 Vipengele vikuu
Picha za kuchorwa na mkono – kariri msamiati mpya kwa haraka kwa kutumia michoro ya kupendeza;
Sauti zilizorekodiwa kitaalamu – sikiliza sauti zilizorekodiwa na waongeaji asilia;
Takwimu za kina – tathmini matokeo yako na fuatilia upigaji hatua wako;
Mfumo wa mapitio – pitia kila kitu unachojifunza;
Utafutaji erevu – tafuta kwa haraka maneno na virai unavyohitaji;
Ficha kile unachokifahamu
Utambuzi wa matamshi – boresha matamshi yako;
Nje ya mtandao – tumia programu-tumizi hii popote duniani, bila ya muunganisho wa intaneti.

💼 Kirusi kwa ajili ya biashara
Pata ufikio wa masomo maalum ya Kirusi yaliyoandaliwa kwa ajili ya biashara yako. Tunatoa kozi maalum kwa madereva wa teksi, wafanyakazi wa hoteli na migahawa, wahudumu wa ndege, wasaidizi wa madukani, n.k.

Kirusi kwa ajili ya safari
Jifunze jinsi ya kuweka oda ya chumba cha hoteli, kutoa oda ya mlo kwenye mgahawa, kuomba kuelekezwa sehemu, kufanya maongezi na kuongea kwa kujiamini pamoja na waongeaji asilia.

🙌 Kirusi kwa ajili ya watu wazima
Tunarekebisha maudhui husika kulingana na umri wa mjifunzaji. Wewe pamoja na mtoto wako mnaweza kujifunza Kirusi na kuburudika.

Jisajili Bure kwenye FunEasyLearn
Jisajili BURE, kwa kutumia maua unayoyapata wakati wa michezo ya kujifunza lugha.

Jifunze Kirusi, cheza bure! Ni haraka na rahisi. 📴

📥 Pakua kozi ya Kirusi ya FunEasyLearn hivi sasa!
Pendekeza programu hii kwa rafiki zako na upate zawadi.
Tukadirie na andika maoni yako ⭐⭐⭐⭐⭐ Itakuwa jambo kubwa sana kwa timu yetu!

Wasiliana nasi:
https://www.FunEasyLearn.com/
Ilisasishwa tarehe
26 Des 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Mahali
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni elfu 20.6

Vipengele vipya

🎉BRAND-NEW, intuitive user interface that's designed to dazzle & delight! 🌟
👨‍👩‍👧‍👦 Introduced the Family Plan: one subscription covers you and up to 5 family members!
🚀Added awesome Daily Challenges
✏️ Included a letter learning flow
👐 Bettered the Hands-free Learning Mode
⭐ Enhanced the "Favourites" feature
Stay tuned! Fresh content, levels, & features drop regularly.

🐝 Our bee is on standby, squashing bugs instantly.
📣Follow us on Facebook, Twitter, and Instagram @funeasylearn.