Hifadhi ya Google ni mahali salama pa kuhifadhi nakala na kufikia faili zako zote kwenye kifaa chochote. Waalike wengine kwa urahisi ili watazame, wabadilishe au watoe maoni kwenye faili au folda zako zozote.
Ukitumia Hifadhi, unaweza:
• Kuweka salama na kufikia faili zako popote ulipo
• Kufikia kwa haraka faili muhimu na za hivi majuzi
• Kutafuta faili kulingana na jina na maudhui
• Kushiriki na kuweka ruhusa kwenye faili na folda
• Kuangalia maudhui yako popote ulipo ukiwa nje ya mtandao
• Kupokea arifa kuhusu shughuli muhimu kwenye faili zako
• Kutumia kamera ya kifaa chako kuchanganua hati za karatasi
Pata maelezo zaidi kuhusu sera ya kusasisha Programu za Google: https://support.google.com/a/answer/6288871
Akaunti za Google hupata nafasi ya GB 15 ya kutumia bila malipo kwenye Hifadhi ya Google, Gmail na Picha kwenye Google. Ili kupata nafasi ya ziada, unaweza kujisajili kwenye huduma ya kulipia utakayonunua kwenye programu. Usajili unapatikana kwa ada inayoanzia $1.99 kwa mwezi kwa GB 100 nchini Marekani na unaweza kutofautiana kulingana na mahali.
Sera ya Faragha ya Google: https://www.google.com/intl/en_US/policies/privacy
Sheria na Masharti ya Hifadhi ya Google: https://www.google.com/drive/terms-of-service
Ilisasishwa tarehe
7 Nov 2024