Google Go

4.4
Maoni 1.55M
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Google Go ni njia rahisi na ya haraka ya kutafuta. Ina matokeo bora ya utafutaji ambayo yatakufanya uokoe hadi 40% ya data.

Pata majibu ya uhakika na haraka ukitumia Google Go, hata kama una muunganisho wa pole pole na simu mahiri zenye hifadhi ndogo. Ina ukubwa wa MB 12 na unaweza kuipakua kwa haraka. Haitumii nafasi nyingi kwenye simu yako.

Andika maneno machache na utagundua mambo mengi. Okoa muda kwa kugusa mada na hoja zinazovuma, au kwa kutumia sauti yako kutamka vitu unavyotafuta.

Pata kila kitu unachohitaji katika programu moja. Fikia kwa haraka na kwa urahisi programu na tovuti unazopenda, pamoja na picha, video na maelezo yanayohusu vitu unavyofuatilia - yote haya yanafanyika kwenye Google Go.

Usikose kupata taarifa kuhusu mada maarufu na zinazovuma. Gundua mada mpya zinazovuma kwa kugusa tu Tafuta.

Pata salamu bora utakazowatumia uwapendao. Gusa “Picha” au “GIF” ili upate picha nzuri zaidi na salamu zilizohuishwa ili uboreshe gumzo lako.

Chochote unachotafuta kwenye intaneti, utakipata kwa haraka na kwa urahisi ukitumia Google Go!
Ilisasishwa tarehe
7 Nov 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine10
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni 1.51M
PAULO ELIASI SONDA
20 Julai 2024
Poa sana
Watu 7 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
ANAFI CHIKOLO
16 Mei 2024
Bora zaidi kuliko wengine wote waliobaki katika biashara wewe ni taifa la kesho hongera sana kwa sababu ni bora zaidi
Watu 13 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Masunga Kayungilo
18 Aprili 2024
Nzuri sana
Je, maoni haya yamekufaa?