Muache mtoto agundue usanii uliopo ndani yake na aina mbali mbali ya michezo kwa watoto! Rangi za duania kwaajili ya umri wa miaka 2,3,4,5 na 6.
Kwa msaada wa njia ya kufundisha hatua kwa hatua, watoto wanaweza kujifunza kuchora kwenye kurasa rahisi za kuchora. Tumeratibu mkusanyiko wa karatasi na mandhari ili msanii wako asichoke kujifunza Sanaa!
Watoto wanaweza pia kucheza aina mbali mbali za michezo! Jifunze kuchora, na kupaka rangi vyote kwenye app moja ambayo itawasaidia mwenye umri wa miaka 2,3,4,5, na 6 kuanza safari zao za usanii!
Jifunze kuchora na kupaka rangi- kurasa za kuchorea itamruhusu mtoto wako kutengeneza nguvu za mikono yao,kukuza kufikiri, na inawasaidia kujielezea wenyewe kiujuzi zaidi!
Wasifu wa Kujifunza kuchora na kurasa za rangi:
Matunda na Mboga: Jifunze kuchora, Brinjal, Nyanya, Karoti, Tufaha, Machungwa, na zaidi, na mtambulishe mtoto wako mtindo wa maisha wa afya. Wasanii wadogo wanaweza hata kujifunza rangi za matunda na mboga.
Magari: Ruhusu mtoto wako aende safari ya kupendeza katika utengenezaji wake! Chora magari mbali mbali, magari ya zima moto, na zaidi!
Ndege: Tengeneza ndege na ujifunze kuchora aina tofauti za ndege wa rangi!
Wanyama: Jifunze kuchora wanyama uwapendao, Nyani, Simba, Simba marara na zaidi! Watoto wa miaka 2,3,4,5, na 6 watapenda zoo yetu ya rangi!
Matoi: Nani hapendi matoi? Chora matoi unayoyapenda na utumie aina za rangi kuongeza ubunifu! Mtoto wako atapenda kurasa hizi za kuchora.
Sio hivyo tu! Tuna kurasa mbalimbali za kuchora na kupaka rangi ili kujenga ujuzi wa ubunifu wa mtoto wako!
Mwache mtoto wako atoe mawazo yake! Pakua "Kuchora & kupaka rangi kwa Watoto" leo!
Ilisasishwa tarehe
12 Feb 2023