Michezo Watoto Ya Kupaka Rangi

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
1M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Mhimize mtoto wako katika kujifunza kuchora & kupaka rangi akiwa na app bora kwaajili ya toddler wa shule ya awali Michezo ya watoto ya kuchora & Kupaka rangi . Ndani ya kitabu hiki cha kupaka rangi,watoto wanaweza kujifunza jinsi ya kuchora & kupaka rangi wanyama pendwa & wanyama. Hiki ni kitabu cha kupaka rangi kwaajili ya toddler wa shule ya awali wenye umri wa miaka 2,3,4,5 ina kurasa nyingi za wanyama pendwa na kupaka rangi wanyama kwaajili ya watoto kujifunza hatua kwa hatua katika kuchora. Michezo hii ya kupaka rangi inamsaidia mtoto wako kukuza uwezo wa ushirikiano wa mkono na jicho,kuzingatia,umakini & ubunifu na pia kufurahia! toddler wako anaweza kucheza & kujifunza kwa furaha ndani ya kitabu cha kupaka rangi & kuchora kwaajili ya watoto wa shule ya awali

Kitabu hiki kizuri cha kupaka rangi shule ya awali kwaajili ya watoto kina kurasa 20+ za kuchora & kupaka rangi wanyama ikiwa na zana nyingi,rangi & miundo. Muangalie mnyama pendwa wako & wanyama wakickeza kucheza,kuruka, na kuonyesha mieneno ya kufurahisha. kila muhusika anapata uhai baada ya kupaka rangi picha katika kurasa hizi za kufurahisha za kupaka rangi wanyama & michezo ya watoto ya kuchora.uhuishaji wa kufurahisha ikiwa na suti zuri za wanyama inayofanya kitabu hiki cha kupaka rangi kuwa cha kufurahisha zaidi & kuishi.

Kuchora kwa watoto ni nzuri kwa shule ya awali na toddler wa chekechea,wasichana & wavulana umri wa miaka 2,3,4,5.michezo ya kuchora kwa wasichana ni michezo mizuri ya rangi & kuchora. Watoto wanaweza kuonyesha ubunifu wao ndani ya kitabu hiki cha kupaka rangi,michezo ya kuchora kwaajili ya wasichana,na ufurahi.Toddler wanaweza kucheza & kujifunza kuchora na kupaka rangi ndani ya kitabu cha kupaka rangi & michezo ya kuchora kwaajili ya wasichana na wavulana


Wasifu wa Michezo ya watoto Ya kuchora & Kupaka Rangi:
🐱Kuchora kwaajili ya michezo ya watoto ni nzuri kwaajili ya watotot wa shule ya awali na chekechea, wasichana & wavulana wenye umri wa miaka 2,3,4,5.
🌈Kuna kurasa nyingi za wanyama za kupaka rangi kwaajili ya kuchora & kupaka rangi ndani ya kitabu cha kuchora
🎨Hatua kwa hatua za kuchora kwaajili ya watoto kujifunza kuchora & kupaka rangi katika njia ya kufurahisha.
🐱Toddler wanaweza kujifunza kuchora na kupaka rangi wanyama pendwa wazuri & wanyama wakiwa na majina yao & sauti ndani ya kitabu hiki cha kupaka rangi wanyama & michezo ya watoto ya kuchora.
🌈Mchoro wa rangi na michezo ya kupaka rangi ikiwa na uhuishaji wa kufurahisha & sauti zuri ambazo zitamfanya mtoto wako ajifunze kuchora & kupaka rangi mapema.
🎨 kuza uwezo wa ushirikiano wa mkono na jicho,kuzingatia,kuwaza & ubunifu ndani ya michezo ya kuchora kwaajili ya watoto wa shule ya awali
🐱Kuchora & kitabu cha kupaka rangi kwaajili ya michezo ya watoto ni bure kabisa. Haina malipo yaliyojificha, Haihitaji manunuzi ya ndani ya app.
🌈Uhuishaji mzuri wa wanyama na sauti inafanya kitabu cha kupaka rangi & michezo ya kupaka rangi wanyama kwaajili ya watoto ionekane ina uhai na ya kufurahisha.

Hivyo ni nini unasubiria? Pakua app bora ya kuchora michezo ya watoto ya Kuchora & Kupaka Rangi na Umwangalie Mtoto wako akijifunza kuchora & kupaka rangi kwa furaha!🎨🌈🐱
Ilisasishwa tarehe
30 Okt 2024
Inapatikana katika
Android, Windows

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play