Tizi Paka Michezo Ya Mnyama

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
3.7
Maoni elfu 9.26
1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

"Je! unapenda paka? Je! Ulikuwa unataka kumiliki paka? Hiki hapa kitu kwaajili yako! Vumbua nyumba za kucheza za paka na cheza nao.walee,walishe, & wapende
😸"

Mji Wangu wa Paka ni mchezo wa kufurahisha wa paka ambao kila mtu ataupenda. Una paka wa kupendeza & na paka wadogo ambao kila mtu atawapenda 😻. kuwa mhudumia paka na wahudumie paka & paka wadogo,cheza na paka siku nzima. hakuna kikomo cha kuwa na furaha ukiwa na mchezo huu mzuri wa myama pendwa.

Mji Wangu wa Paka una vitu vingi vizuri kwaajili yako! Ingia ndani ya ulimwengu mpya wa kucheza kujifanya na uvumbue ukigusa kwenye kioo 😻.Cheza na paka mbali mbali,matoi ya paka & paka wadogo ndani ya mchezo huu wa paka.ulimwengu huu wa mnyama pendwa paka ni maalumu kwa watoto wa umri mwaka 1,2,3,4,5,6,7,8.

Unaweza kufanya nini ndani ya hii michezo ya mnyama pendwa kwaajili ya Wasichana & Wavulana?
🐾 Cheza na paka wazuri ndani ya nyumba!
Kuwa sehemu ya maisha ya paka. Mlee paka wako anae nong'ona ndani ya nyumba. Cheza na paka ukiwa karibu nanyumba ya kucheza ya paka, nyumba ya mti ya paka na vitu vingi ambavyo paka wanavipenda!
🐾 Cheza na paka wazuri ndani ya bustani!
Cheza na nyumba ya mti, vichaka ndani ya bustani. Fanya shughuli za nje ukiwa na paka wako ndani ya eneo la bustani.
🐾 Furahia siku ya kufurahisha ya ufukweni ukiwa na paka wako!
Hauna haja ya kulea paka mmoja! Kuna aina tofauti za paka wazuri! Chukua kofia ya ufukweni na soksi kwenye jua ndani ya ufukwe.
🐾 Wachukue paka wako kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa!
Kwanini usherekehe siku ya kuzaliwa peke yako wakati unaweza kualika paka wako pia! Pamba eneo ukiwa na paka wako wadogo.
🐾 Nenda kwenye chumba cha kufurahisha na paka wako!
Kuwana furaha kwenye chumba chenye madhali ya halowini ukiwa na paka wako. Wavalishe mavazi ya kichawi na zaidi!

Wasifu mpya wa ulimwengu wa wanyama pendwa wa paka:
😸 Gusa, kokota na shiriki katika kila kitu unachokiona na uvumbue vitu vilivyojificha.
😸 Ni nzuri wa wavumbuvi wadogo wa umri wa mwaka 1, 2, 3, 4. 5. 6, 7, 8.
😸 Maeneo ma 5 ya kucheza na paka wazuri.

Kama wewe kweli mpenda wanyama au mpenda paka au mpenda wanyama pendwa hakika utapakuwa Mji Wangu Wa Paka.Hautapata mchezo mzuri wa mnyama pendwa kama huu sehemu yoyote hivyo, unasubiria nini? Pakua Mji Wangu Wa Paka -Michezo ya Mnyama Pendwa kwaajili ya Wasichana & Wavulana SASA & furaha ianze!

Mji Wangu Wa Paka 😸 -Michezo ya Mnyama Pendwa kwaajili ya Wasichana & Wavulana ni moja ya michezo bora kutoka kwenye mfululizo wa Michezo ya Mji Wangu Wa Wanyama. Pia unaweza kuangalia Nyumba Yangu Ya Kindi, Mji Wangu Wa Dubwana, michezo ya Mji Wangu Wa Wanyama. Hakika utaipenda michezo hii!
Ilisasishwa tarehe
4 Okt 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

2.8
Maoni elfu 6.46

Vipengele vipya

Hello champs,
Hope you are enjoying to play pretend with My Cat Town. In this new update, we have fixed some bugs and enhanced the performance of the app. Update now and explore!