Mchezo wangu wa Tizi Princess

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.3
Maoni elfu 10
1M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Ingia kwenye dunia ya binti wa mfalme & ujifanye unacheza ndani ya hekalu kubwa la binti wa mfalme. Upo tayari kwaajili ya maisha ya kifalme ndani ya hekalu? Hivyo anza uvumbuzi wako wa hekalu la kifalme la binti wa mfalme ndani ya mji mara moja!

Hekalu la binti wa mfalme ni kubwa & kuna vyumba vingi vya kuvumbua. Jiunge nasi kwenye dunia hii ya kufikirika ambayo haina mipaka ya kufikiria.Chagua binti wa mfalme umpendae na tengeneza hadithi nzuri kwa ubunifu wako.

VITU UNAVYOWEZA KUFURAHIA NDANI YA APP HII YA BINTI WA MFALME NI:

? Cheza Michezo ya Binti wa Mfalme
Unaweza kutengeneza hadithi yako ya binti wa mfalme wewe mwenyewe ndani ya hekalu la kipekee.Ndani ya mchezo huu unaweza pia ukamvalisha kila binti wa mfalme. Chagua magauni mazuri na uonyeshe uelewa wako wa mitindo ndani ya michezo ya binti wa mfalme!

? Chumba cha Kiti Cha Kifalme cha Binti wa Mfalme
Mfanye muusika aketi kwenye kiti cha kifalme chenye kung'aa na afanye mazungumzo ya kifalme.Kula vyakula vitamu na ongelea vitu vinavyotokea kwenye mji. Vumbua kila pembe ya chumba ili kupata siri zilizojificha!

? Jiko la Binti wa Mfalme
Pindi binti yako wa kifalme asikiapo njaa, nenda jikoni na upate vitafunwa.walishe wahusika na andaa chakula zaidi kwaajili ya baadae! Kuna vitu vingi vya kutumia hapa. Mara zote kuna kitu kitamu kinaandaliwa ndani ya jiko la kifalme!

? Chumba cha Kulala Cha Binti wa Mfalme
Kuza ubunifu wako wa kusimulia hadithi kwa kucheza kwa kujifanya. Ndani ya chumba cha kulala cha binti wa mfalme,unaweza kuangalia chumba kilicho tengenezwa vizuri na kilicho jaa vitu vizuri. Msaidie binti yako wa kifalme kujiandaa ndani ya nyumba yako ya mdoli.Kuwa mwana mitindo wa binti wa mfalme na uonyeshe ubunifu wako!

? Bustani ya Maajabu ya Binti wa Mfalme
Nenda kwenye mapumziko ukiwa na mabinti zako wa kifalme & binti wa mfalme. Furahia mapumziko ya nje na marafiki zako wa kifalme.

Ni dunia nzuri sana kwaajili ya wavulana na wasichana ambao wana wapenda mabinti wazuri wa kifalme! Utatumia muda mwingi ukiwa na furaha ndani ya mji huu. Usipitwe kwa vionjo hivi na pakua app hii SASA!
Ilisasishwa tarehe
8 Okt 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

4.6
Maoni elfu 7.78

Vipengele vipya

Katika sasisho hili jipya zaidi, tumeondoa mende mbaya. Wote wametumwa kwa mji uliotengwa. Pamoja, pia tumeongeza utendaji wa programu. Sasisha sasa!