Kuza Business ni aplikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.
Ukiwa na programu ya Kuza Business unaweza kufanya katika kutekeleza;
- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business ni programu ya uwekaji hesabu ya simu kwa wafanyabiashara kurekodi na kuhifadhi data ya biashara zao na maelezo kama vile mauzo, matumizi, madeni na usimamizi wa orodha. Kuza Business hurahisisha biashara kukuza biashara zao kwa kufanya maamuzi sahihi kutoka kwa data ya biashara zao
Ilisasishwa tarehe
13 Jan 2025