Kazi Mtaani: Ajira na Michongo

elfuĀ 10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Kupitia App hii utaweza:

1) Kuomba kazi zilizotangazwa.

2) Kuweka taarifa ya ujuzi ulionao kisha kutafutwa na watu wenye uhitaji.

3) Kutangaza nafasi za kazi au kutafuta mfanyakazi.

4) Kutangaza huduma unazotoa.

5) Kuweza kuchati na watu waliotangaza kazi au wenye ujuzi mbalimbali.
Ilisasishwa tarehe
30 Nov 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Vipengele vipya

Tafuta Mchongo ili ujiingizie Pesa. Tangaza Mchongo Usaidiwe.
Tafuta Mfanyakazi Kwa Urahisi.
Find Deals To Make Money