Unaupenda Mwezi? Pata huu muigo wa Mielekeo Mitatu, na Atlasi, Kalenda ya kila Mwezi, Bamba Ukuta, Kifaa na mengineyo ili kufuata Mbalamwezi ijayo, Mwezi Mchanga, na Kupatwa kwa Mwezi au Jua.
Shika Mwezi kwenye mkono wako na muigo huu wa Mielekeo Mitatu wa hatua za Mwezi na habari zinazosasishwa na wakati halisi. Songesha nyuma na mbele ili kuenda katika awamu za Mwezi. Programu hii ina habari zote unazohitaji ikiwamo kutokea kwa Mwezi na masaa, nuru ya mwezi, jina la kila hatua, maeneo ya Zodiaki na umbali hadi kwenye mwenye Mwezi, yote yakiwa kwenye programu ambayo ni nzuri, ya kifahari na rahisi kutumia. Pia ina kalenda ya kila mwezi ndiyo upate kuona vile Mwezi utafananavyo jinsi nyakati ziendavyo.
Vipengele Muhimu:
-Fuatilia mizunguko yote ya mwezi (ikiwemo mbalamwezi, mwezi mchanga, mwezi unaofififa kinyume, mwezi mwandamo uliopinduka, robo ya kwanza, na mengineyo) kupitia Bamba Ukuta wa mwezi ama kupitia programu ya kalenda ya hatua za mwezi. Tazama jinsi mwezi unavyofanana katika kila hatua, ikiwemo kupatwa kwote kwa jua. -Tazama kupatwa kwa mwezi kuliopo ukitumia mwigo wa Mielekeo Mitatu ulioundwa kutokana na takwimu za NASA. Unaweza kuona vile vivuli vinavyobadilika. Pia, ina Bamba Ukuta wa Mwezi na Kifaa ndiyo isikubidi kuingia kweye programu ili kujua ni hatua ipi ya mwezi iliyopo. -Kutokea kwa Mwezi na Nyakati za Mwezi: Tazama ya leo ama uangalie yaliyopita ama yajayo kwa wakati uliosasishwa. -Pata kujua Mbalamwezi ama Mwezi Mchanga ujao: Unaweza kugusa kitufe ili uende kwenye Mbalamwezi ama Mwezi Mchanga unaofuata. Kwa unyororo kokota hatua ya Mwezi mbele na nyuma ukitumia kidole chako, na pia 'sokota; ili kusogea mbele ama nyuma kwa haraka. -Ona tarehe iliyopo, umbali, jina la hatua, eneo la Zodiaki na asilimia ya mwangaza wa mwezi: haya yote yamesasishwa kwa nyakati halisi. Ugunduzi unaotumia Mfumo wa Kimataifa wa Maeneo (GPS) unaonyesha nusu ya dunia na eneo uliomo ili kuhakikisha Mwezi ni mzuri kwako. -Tazama jinsi Mwezi unavyoyumbayumba unapokamilisha safari ya mzunguko wa Dunia.
-Tazama kasoko na maeneo ya kutua ya Mwezi: Bana/panua Mwezi ili kuona atlasi yote iliyo na maeneo ya kutua ya meli ya angani, maeneo meusi, na kasoko kubwa. -Shirikisha marafiki. Tuma picha zako kwenye mitandao maarufu ya kijamii.
Imetengenezwa na M2Catalyst. Tafadhali tutumie barua pepe kama una maswali ama kama kuna shida na toleo lako haswa la Android. Tungependa pia kujua mawazo yako kuhusu vipengele. Picha zimetengenezwa na Utawala wa Kitaifa wa Ujenzi na Kupaa kwa Ndege na Anga (NASA) na Studio ya Kisayansi ya Taswira kwenye Kituo cha Kupaa Angani cha Goddard.
Ilisasishwa tarehe
2 Okt 2024
Hali ya hewa
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Shughuli za programu na Kifaa au vitambulisho vingine