Jifunze Kiarabu Fasaha ni App inayokufundisha kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha. Masomo yameandaliwa kumwezesha mwanafunzi ambaye anazijua herufi za kiarabu kuongea lugha ya kiarabu. Masomo yapo katika vitabu viwili, mwanafunzi amalizapo kitabu cha kwanza atatakiwa asome na kitabu cha pili ili kujenga uwezo wa kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha. Tunakutakia kila la kheri na mafanikio katika kujifunza lugha hii.
Ilisasishwa tarehe
17 Jul 2024