Kuwa wa kwanza kujua yaliyojiri kwenye michezo kila siku kupitia simu yako ya mkononi.
ہباری زا سوکا لا بونگو نا رتیبا زوٹے زا میچی زا لیگی کوو این بی سی نا لیگی زا الایا، ٹیٹیسی زا اسجیلی، ماٹوکیو یا میچی زوٹے کوا وکاتی بلا کساہو اترابیری وا میچی زوٹے زینزوچیزوا کلی سیکو۔
Kupitia app hii ya habari za michezo utapata uchambuzi wa soka kwa ligi zote kutoka wachambuzi waliobobea katoka soka, pia utapata taarifa zote zinahusu vilabu vya soka na soka lote kwa ujumla۔
Utaweza kujua yaliyojiri kwenye timu za ligi kuu kama ile simba, yanga, Azam, Namungo, singida bigstars, polisi tanzania, mtibwa sugar na nyingine nyingi.
اپ ڈیٹ کردہ بتاریخ
18 جون، 2024