FC Mezzi 2: Kupambana Hadi Mwisho

· Lindhardt og Ringhof
eBook
25
페이지
검증되지 않은 평점과 리뷰입니다.  자세히 알아보기

eBook 정보

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, Peter na wachezaji wengine wa FC Mezzi wanafanya vizuri kwenye mashindano. Lakini je, wanaweza kushinda na kupanda hadi ligi kuu? Haijawahi kutokea kwenye timu ya mchanganyiko hapo awali. Wapinzani wao ni wazuri sana na wachezaji wa FC Mezzi ni majeruhi. Ni vigumu kuwapata wachezaji wapya kwa muda huu mfupi, lakini inatokea hivyo kwamba mvulana mpya amelekea mjini. Ana jina maarufu la: Zlatan. Lakini je, anaweza kucheza mpira wa miguu? Na je, anapenda kufanya hivyo? Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

이 eBook 평가

의견을 알려주세요.

읽기 정보

스마트폰 및 태블릿
AndroidiPad/iPhoneGoogle Play 북 앱을 설치하세요. 계정과 자동으로 동기화되어 어디서나 온라인 또는 오프라인으로 책을 읽을 수 있습니다.
노트북 및 컴퓨터
컴퓨터의 웹브라우저를 사용하여 Google Play에서 구매한 오디오북을 들을 수 있습니다.
eReader 및 기타 기기
Kobo eReader 등의 eBook 리더기에서 읽으려면 파일을 다운로드하여 기기로 전송해야 합니다. 지원되는 eBook 리더기로 파일을 전송하려면 고객센터에서 자세한 안내를 따르세요.