FC Mezzi 3: Shuti Mkasi

· Lindhardt og Ringhof
Kitabu pepe
25
Kurasa
Ukadiriaji na maoni hayajahakikishwa  Pata Maelezo Zaidi

Kuhusu kitabu pepe hiki

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, Peter, na wachezaji wengine FC Mezzi sasa wapo ligi kuu . kasi yao ni ya haraka, mashambulizi yao hayana mpangilio, na michezo inaonekana kuwa migumu zaidi kuliko hapo awali. Zaidi ya hayo, Nick na Zlatan wanagombana, na ikiwa hawatacheza kama timu, hawatakuwa na nafasi ya kushinda ligi. Je, Jake, ambaye ni nahodha, anaweza kufanya lolote kuhusu hilo? Na vipi kuhusu Ursula na Zlatan? Wanashirikiana? Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Kadiria kitabu pepe hiki

Tupe maoni yako.

Kusoma maelezo

Simu mahiri na kompyuta vibao
Sakinisha programu ya Vitabu vya Google Play kwa ajili ya Android na iPad au iPhone. Itasawazishwa kiotomatiki kwenye akaunti yako na kukuruhusu usome vitabu mtandaoni au nje ya mtandao popote ulipo.
Kompyuta za kupakata na kompyuta
Unaweza kusikiliza vitabu vilivyonunuliwa kwenye Google Play wakati unatumia kivinjari cha kompyuta yako.
Visomaji pepe na vifaa vingine
Ili usome kwenye vifaa vya wino pepe kama vile visomaji vya vitabu pepe vya Kobo, utahitaji kupakua faili kisha ulihamishie kwenye kifaa chako. Fuatilia maagizo ya kina ya Kituo cha Usaidizi ili uhamishe faili kwenye visomaji vya vitabu pepe vinavyotumika.