Hisia ya Hatia Ichomayo

· Lindhardt og Ringhof
電子書
125
頁數
評分和評論未經驗證 瞭解詳情

關於這本電子書

Johan Boje, msaidizi wa polisi wa Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland anafariki baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi akiwa nje ya nyumbani kwake usiku mmoja wa manane mwezi Machi. Bosi wake, Alex Borg, ni mmoja wa watu wa kwanza kufika kwenye eneo la tukio. Kwa haraka anagundua kuwa hii si ajali ya kawaida ya kugongwa na gari na kisha mtuhumiwa kuhepa, lakini ni mauaji ya kikatili. Mwanake Boje mwenye umri wa miaka tisa anadai kuwa aliliona gari hilo, na kwamba lilikuwa linaendeshwa na afisa wa polisi. Je, ni fikra za kijana huyo mwenye mfadhaiko zinamchezea shere? Kamera ya uchunguzi ya kituo cha mafuta inathibitisha masimulizi ya mtoto – mtu fulani aliyekuwa amevalia sare za polisi alikuwa anaendesha gari hilo wakati wa usiku huo wa ajali ya mauti. Roland Benito, mpelelezi katika Mamlaka ya Malalamishi ya Polisi, anapewa usukani wa kuendesha kesi. Ni nani kati ya marafiki wa Johan Boje alikuwa na nia ya kutenda maovu kama hayo? Rolando Benito anaungana na Anne Larsen, mwanahabari kutoka kituo cha televisheni cha TV2 East Jutland. Wanafuatilia alama za magurudumu hadi kwenye moto, ambao ulikuwa na hasara kubwa kwa familia ya eneo hilo. Labda moto huo haukuwa ajali? Anne na Rolando wanakisia kuwa huenda nia ikawa ni tofauti sana na kile walichotarajia mwanzoni. Msako wa kumtafuta mhalifu huyo unaanza kabla hajafanya shambulizi lingine. Inger Gammelgaard Madsen (alizaliwa 1960) ni mwandishi Mdenmaki. Awali Madsen alikuwa msanifu picha. Alianza uandishi kwa riwaya iitwayo, "Dukkebarnet" mnamo 2008 na tangu wakati huo ameandika vitabu kadhaa vya utanzu huo. Kati ya hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Zawadi ya Slangens" (2014), "Dommer og bøddel" (2015), "Blodregn" (2016) na "Msafishaji" (2019).

為這本電子書評分

請分享你的寶貴意見。

閱讀資訊

智能手機和平板電腦
請安裝 Android 版iPad/iPhone 版「Google Play 圖書」應用程式。這個應用程式會自動與你的帳戶保持同步,讓你隨時隨地上網或離線閱讀。
手提電腦和電腦
你可以使用電腦的網絡瀏覽器聆聽在 Google Play 上購買的有聲書。
電子書閱讀器及其他裝置
如要在 Kobo 等電子墨水裝置上閱覽書籍,你需要下載檔案並傳輸到你的裝置。請按照說明中心的詳細指示,將檔案傳輸到支援的電子書閱讀器。