Ronin 3 - Mkuki

· Lindhardt og Ringhof
E-kitob
20
Sahifalar soni
Reytinglar va sharhlar tasdiqlanmagan  Batafsil

Bu e-kitob haqida

Ronin anakumbana na changamoto kali na kujifunza kuwa wakati mwingine, hata katika maadui, kuna mengi zaidi ya tunavyofikiri. Anapojifunza kuhusu maisha yake ya zamani, baba yake na mkuki, maswali mengi zaidi yanaibuka. Katika tukio la hivi karibuni, Ronin alikaribia kujua yeye ni nani na jinsi gani anaweza kuwasaidia wale wote anaowajali sana. Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani. Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

Bu e-kitobni baholang

Fikringizni bildiring.

Qayerda o‘qiladi

Smartfonlar va planshetlar
Android va iPad/iPhone uchun mo‘ljallangan Google Play Kitoblar ilovasini o‘rnating. U hisobingiz bilan avtomatik tazrda sinxronlanadi va hatto oflayn rejimda ham kitob o‘qish imkonini beradi.
Noutbuklar va kompyuterlar
Google Play orqali sotib olingan audiokitoblarni brauzer yordamida tinglash mumkin.
Kitob o‘qish uchun mo‘ljallangan qurilmalar
Kitoblarni Kobo e-riderlar kabi e-siyoh qurilmalarida oʻqish uchun faylni yuklab olish va qurilmaga koʻchirish kerak. Fayllarni e-riderlarga koʻchirish haqida batafsil axborotni Yordam markazidan olishingiz mumkin.