Kodi au ununue filamu kwenye YouTube au Google TV
Huwezi tena kununua filamu kwenye Google Play

Race

2008
Kipengee hiki hakipatikani

Kuhusu filamu hii

Race ni filamu ya kihindi ya mwaka 2008 iliyoongozwa na Mustan Abbas na kutayarishwa na bendera Tips Music Film.
Filamu hii ni sehemu ya kwanza ya safu ya filamu ya Race. wahuska wakuu katika filamu hii ni Anil Kapoor, Saif Ali Khan, Bipasha Basu, Akshaye Khanna na Katrina Kaif. Filamu hii ilitolewa munamo 12 machi 2008.